Hallo everyone hope this will find you well on this eve on new year 2016. I would like to caution/inform you that there are people who are texting people immediately after zile calls muhimu za biashara wakidai utume pesa kwa laini nyingine juu hio imefungwa/hiyo simu imeisha charge etc
Sikuelewi braza
Kama huyu forkojembe [ATTACH=full]25864[/ATTACH]
I saw these kind of messages the other day. wanangoja saa ile umefanya transaction ya maana ama umedeposit kitu mzito
Ebu rudia tena in mother tongue, someone will translate, ama wewe ni Elmolo
wanangoja saa ile umefanya transaction ya maana ama umedeposit kitu mzito cc @Rene Descartes asante kwa kuieleza vyema
Nilishangaa watu bado wana-con-iwangwa na zile za kutumiwa message ya mpesa alafu unaambiwa ni mistake ati u-resend a portion of it juu ni ya hospitali hiyo ingine uende nayo. Young college people. Wametoka high school alafu “dadee” akawanunulia phone wakienda colle a few moths after.
Lakini naona kama nugu za Safaricom ziko involved juu mimi niliongea na kiarie alafu mtu akanitext kua ni kiarie na a new number
labda na watu wa mpesa shop pia wanaanza kuingiza wizi.
Strange
i get one of these and i am like good work, atleast the nigga is trying, a man has got to live!:D:D:D
I keep saying bado sielewi why Safaricom needs us to leave our details na hao mpesa agents. It really simple, supply agents with special mpesa phones, whenever a transaction is logged, send to the agents phone identity details for comparison with customer’s profered I.D, auto delete this info. from the agents phone. Save the transaction info. in their servers for c.b.k know your customer rules.
Hii maneno ya Jina, phone and I.D no. zetu kuwa na funny guys sipendi
true especially hizi no. za 0722
Washanijaribu kiasi… nilimtapikia akatoka mbio and immediately I emailed safcom the detail. As usual hao usema wanafuatilia.
[ATTACH=full]25895[/ATTACH]
Sam
[QUOTE=“riang’a nene, post: 285590, member: 2567”]
Lakini naona kama nugu za Safaricom ziko involved juu mimi niliongea na kiarie alafu mtu akanitext kua ni kiarie na a new number
[/QUOTE
Same for me.[/QUOTE]