Magufuli Edition, nawaambia kaka bratha na madada mwe na pasaka njema!
[MEDIA=vimeo]159844023[/MEDIA]
Hehe, naenda kupanda hii Catalyst ya Rongai nione. Hii chevy yetu ya Kayole naambiwa haitoshi. Salamu kwa kina PP na Brayo Kavogo hapo Ladida, tunasija!
[ATTACH=full]35081[/ATTACH]