NEW MIXTAPE ALERT!!!! MVUA EDITION.

Good Evening Talkers! Poleni kwa kunyeshewa leo as you went about your hustles. Peweni mix mpya moto kama pasi, guaranteed to cheer you up and get your groove on as we welcome the weekend.

http://www.demakufu.com/audio/demakufu-sijafika-vol-4/

DEMAKUFU!!! From nobody to something!

[ATTACH=full]162656[/ATTACH]

niaje demapupu. doni kuko aje?

nimeiskiza, ungemix kiasi na ngoma ambazo sio latest… three quarter ni ngoma sijui :frowning:

achanga kuskiza kiss fm na classic. Hizo ngoma ndio kusema sahii

demakufu ingiza hii pia kwa mix…

https://www.youtube.com/watch?v=sYvGMeAdcTc

Inakaa itabidi niliweka rada na hizi vitu. I always listen to what I fancy/mix

Fiti, kutoka leo hakuna maina & king’ang’i in the morning tena …