New mix alert (la hasha, sio Demakufu!!!!!!)

From the one and only, Supremacy sound’s Simple Simon. Marley’s greatest hits
http://www.mixcrate.com/supremacysounds/bob-marley-greatest-hits-mix-10306048

1 Like

Sisi kama Forward Travellers Sacco, tunatambua Demakufu pekee

But pia sio kusema usahau wazazi. Bila Nyanza club house na Thika Vybestar… bila Papa Nasty na Papa Chali… Demakufu angekuwa wapi?

Simple Simon yuko poa. Wesley used to do some ill reggae sets pia!