sani
September 13, 2021, 8:17am
2
mbona wamefungia mtu katikati ya roundabout? hawangecompensate yeye ahame?
Maswali ya upus upeleke sukoi.
DeMoreh
September 13, 2021, 8:23am
5
Delete hio part ya Kanyonyo usijichomee sana
Miraa from meru and muguka now getting to mombasa chap chap through the new direct route.
#KabaUhuru
https://i.postimg.cc/mZ0L9BJ2/kitui-rd.png
DeMoreh
September 13, 2021, 8:31am
8
When was it done? Piga porojo polepole
Kitui-Kibwezi ilimalizwa kitambo. Na ni barabara smooth sana. Usikue tempted kuoverspeed. There’ve already been fatalities on this road (boda bodas sana sana). The plan was ifike Isiolo Airport, kaende kaende.
It’s one of my favourite roads in the country. Ukiitumia on the Kibwezi side ulizia Silver Lounge. Enjoy nyama choma and beer in peace, hakuna curfew, mwenyewe ni senior policeman.
sani
September 13, 2021, 8:50am
12
nalipa ushuru na nina haki ya kuuliza maswali
Bas. Mwenye nyumba na shamba alilipwa its only that the house hasnt been demolished.
kipuke
September 13, 2021, 8:59am
14
If by now such a road is not in the vicinity of your ocha, huna bahati. Wewe vuka uende opande ya upinzani.
Agreed it’s a smooth road
Bazuka
September 13, 2021, 9:09am
16
Iyo syongila interchange imeshaisha Kweli?
Kuna daraja ingine hapo between kabati na syongila.Hope pia imeisha
Kufika kitui ni faster sasa
Ukue unanitag kwa threads kama hizi @johnpombe
Kemoi
September 13, 2021, 10:49am
19
the 7trillion loan does not equate to some thousands of infrastructured roads. huezi tufunika macho.
Wewe weka picha ya arrorr dam tuone vile jambaz limefanya kazi.