[ATTACH=full]104352[/ATTACH] [ATTACH=full]104353[/ATTACH]
ebu weka tuone propellers zake
Joho about to cry again.
naona @kush yule mnono amerudi kutoka Qatar venye mambo yameharibika huko Gulf
https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2017/06/167835_ec9b61b4987fd3316286de566a75f8db.jpeg
That dude is huge.
Hehe
Huyu ndiye anatumiwa Kuinua Ferry au nini?
:D:D:D
Wueeh…
this is poor eating habit…same way a feel sad for an oversized human being whose weight is almost of a mazda carol eating junk food
Kwa background ni vessel lakini iyo ya mbele ni nini ama ni nani
side mirrors za ferry ni how much
hiyo ni machine ya kuinua na kuteremsha ramp.
When is it expected here?
Twamuombea mambo yawe sawa kule Qatar otherwise atakuwa @Kush yule mwembamba!
MV.JAMBO (overall length 84M ) at the Ozata Tersanecilik San Vetic Ltd, dry dock in Turkey.
Kazi vs Vitendawilli
Didn’t we recently build two boats or ferries locally? This is why we will never develop.
We need industry to build these up.
Well that’s my armchair analysis. I’m at a welding shop as we speak and I think we youngins need to embrace the dirty work
But that ferry is sweet!! SGR ya maji
Are you talking about MV 001
Can’t remember what they were called lakini zililaunchiwa hata kwa news za 7 na 9 zilikuwa. Majina tu ndio nimesahau.
Wacha kutaja hiyo gari na madharau ya kinjaro. Tutakosana bro