Hii msimu ya krisi mimi nimetulia tu home sina form na nimeparara kama miguu ya @ChifuMbitika enye iliona maji na mafuta mwisho akioshwa na mathe yake.
Sasa magari zilikuwa zinapita tu mimi sina haja nazo nimekaa tu nje nikiota jua.
Kiasi kiasi Mazda Axela KDV ikakuja na kusimama karibu yangu venye ilishukishwa kioo nikaona ni my childhood friend.
Hio gari ananiambia wazazi wake walichanga wakamnunulia.
Huyu kijana ujue bado anaishi home kwa wazazi kama mimi. Na amenunuliwa gari.
Apart from that my other neighbor amebuy Toyota Harrier KDU. Yaani watu wanabuy magari mpaka naona gari ya mathe ikiwa toy car.
Relatives wamebuy Toyota Prado na mwingine Hiace ya matatu
Nimeanza kuuza sera achukue Honda Vezel mpya but ni kama hataki.
Back to my friend,mathe yake anamlipia rent lakini bado ako home. Si unaona niko tu sawa
1 Like
Kihii tupeane heshima. I could be your father you know.
3 Likes
F
wewe kipii next year toka urent nyumba kama wanaume wenzako
Utanilipia rent
2 Likes
tafuta kazi
1 Like
Kwani unadhani niko idle,pesa za hookups ni za wizi?
1 Like
use that money to rent a house
1 Like
Unataka kunifundisha jinsi ya kutumia pesa zangu. Nikitafuta ulinisaidia
It’s shameful for a grown up man to share a house with parents. Ata sisi wazazi wetu wamejenga Nairobi but we had to move out and hustle bila kufukuzwa
1 Like
Muuzie mkia?