Imagine being worth 141 billion just one morning hivo tu. Is God not real?
[ATTACH=full]454418[/ATTACH]
Imagine being worth 141 billion just one morning hivo tu. Is God not real?
[ATTACH=full]454418[/ATTACH]
Damn
Not a billionaire because IRS gets a third…a lot of money still tho!!
Atabaki Na around 0.8B though
A Few years down the line, he will be the poorest person on earth
In your dreams. Peasants hata mukiona mwenzenu anaomoka … ni makasiriko tu. Ati vanity… sijui nini. Bullshit …
Hio yote umetoa wapi?
This is on record not once or twice, people who come into instant riches tend to lose it within a short period
True. Very common in Yankee land
Sad but true, even inheritance claims lives yet that is not the rule of thumb.
Shait. Hizo ni shot ngapi za 150?
ngómbe za kuiba usijipige nazo kifua mse.
Kama ni za kuiba ni za kuiba :D:D
Tukiwa campo tulikuwa tunawekelea megajackpot sana…one time tumeanalyze vizuri tukawekelea by the end of sato tulikuwa tumewin 7/17…we ended up winning 15/17 and each of us three got 682k from sportpesa.
Nakumbuka when we received the messages ya congratulations roommate wangu juu tulikuwa tunakaza game za mbili za mwisho hakuwa anaamini alitoka nje ya hostel hakuna anaona shit…yaana nje hakuna miti,watu ama buildings!! anaona tu kiwanja/field/plain
My friend I can tell you for a fact the amount of thrill/dopamine your brain releases from betting ni kama ile ya illegal drugs msee like heroin/meth
JUST AVOID ANYTHING WRITTEN NOT FOR UNDER 18 ikue drugs,alcohol ama blue movies juu hadi waleo I struggle with gambling addiction
[ATTACH=full]454829[/ATTACH]