NEW BABY ALERT

waiting for clearance then i will be done by tomorrow. wale wa kutroll nunua yako tutoshane peasants. pink handles wa mombasa tupatane tapas leo drinks on me[ATTACH=full]163263[/ATTACH][ATTACH=full]163264[/ATTACH][ATTACH=full]163265[/ATTACH][ATTACH=full]163266[/ATTACH]

Kenyans na gari mitumba… smh but jibambe mboss

Smh

Meffi…nko in the 4th Jalopy

How much has it cost so far after clearing? Which year is it?

Watu wa Mongoose Legion tunapita tu

total cost naona kama itafika 1.8m iko fully customized plus japan original rims na smoked lights 3000cc v6

Then regale us afterwards with tales of how much ‘mchele’ you ate.

What the shit is that? Hebu rudisha hiyo mharo Japan.

Sawa clearance agent. Watu tuko na kakitu hatuongeangi vimeffi

This is nice! i am sure you will enjoy the pulling power but please do not attempt to sell it locally utalia. The local market hapana tambua 3 L monster tunapenda 1000-1800 cc

Iko poa

Khai utatoa wapi spare ya hizo mataa.Which reminds me my jalopy has a slow puncture shait.

Wewe ni driver wa delivery, pelekea mwenyewe gari upcountry na uache kutusumbua.

Toyota sedan ya 3000> cc…just get a merc S class mara moja

Naskianga hii gari inakuwa na mashida ka zote…at first ndio nilikuwa napangia but I was advised not to because it is one of those vehicles that are like concept cars. Basically, just produced for their aesthetics more than their durability and functionality

That’s what happens when you try to compete with Merc S class, BMW 7series and Audi s 6

It is such a beautiful ride! I hope uko na biashara ya kufuel 3000cc. Hio ni ya watu wamejipanga.

Wamama wamejaa wivu hapa. Nunueni zenu mtoshane na savage la si hivyo mtosheke kwa matatu bila kusumbua

Such a beauty.