New Air Force One

A new ride for President Joseph Biden … :smiley:

[ATTACH=full]335786[/ATTACH]

Waniuzie hiyo ya kitambo

Nope …
It goes to the US Air Force Museum …
To much classified equipment in it … :smiley:

Si ni tuchips tumbili tutatu wanatoa na wanauza? Kwani siwezi kalia kiti ya President?
Edit: Halafu wairudishie engine ya cessna ilikuwa hapo before

Huwa najiuliza kama millitary ya Uganda pia kuna budget ya kubadilisha ndege ya rais akitoka?

Boss …
That ride is a Mobile White House , Command Center and War Room rolled into 1 …
Technology kali kali kabisa … :D:p

yeap

Hongera @rexxUmbwa for your first meaningful thread…may lucifer always keep an eye on you swine & never leave you to have peace…

Walinipatia memento…
[ATTACH=full]335828[/ATTACH]

big up
kum

be kuosha ndege ya president iko na perks

Hii ni yangu,parking ndio imekosa

Nikikupea utawezana?