Hey Cabrons
Could be kuna mtu ako na Netflix Subscription na iko idle. Nimesota to update my subscription. Mtu anijenge account nijibambe hii weekend ni mrefu sana.
Inbox haiko mbali sana.
Asanteni.
Ni 300 only
300 Bob monthly only banae and that’s 720p that will play on ALL devices.
When did this change? I had to confirm. Asanteni.
Ile wiki Jill Biden alikuwa huku.
Niggaz, in their usual upuss, were claiming that she was here to push LGBTQIA+ agenda.
I say, your content your choice ️️️️!
What peasantry level is this???
Hatuoni homosexi taktaka, ita @Thirimaii muone nayeye
If you are too broke to afford Netflix subscription, yet you are seeking to spend the entire weekend watching movies, Id say you got misplaced priorities.
Nilikuwa niseme hivi nikaona ni hate speech…jamaa haezi afford mia tatu anakaa akiwatch movie ya nini
Peasant, weka number tukulipie mpaka Dec
Huezi afford soo tatu pekee?