Negative KRA tax due

Hii pesa ya refund nitapata ama nisijisumbue na bank details?

Keti-------

KRA na Kwa mganga ni same.

Tafakari…

Who has ever got refunds from KRA?
I guess it only exists on paper.

Speaking of which, lets say hypothetically u knw a company that has been evading tax. Year 2015/16 they got away with like 32million can kra offer you some like 2m ndio uwapatiane with evidence.

Weka mpesa details kwa return coz ikileta negative lazima ueke bank details…otherwise ngojea Kaisari original afufuke ndio urudishiwe

Ni wewe uliambia safaricom about their system issue with bonga points juzi?

Kwa itax yangu Wako na 1091.00 yangu ya 2015. Ati nitafute P9 ya hio mwaka ndio wanipee. Nugu hao

Hapana huo ni Jeremiah sio mimi,in my case I have to benefit kama sipewi kakitu let them suffer.

Maybe when Jesus comes back atawalazimisha kutulipa. Wanapenda tu kukula.

Worse is their mentality. They assume every Kenyan is a crook. Nkt.