Need of a rental.

I want to shift from my current residence. Incase you know of a place nitapata single rooms spacious along Thika road please let me know. I will appreciate.

Did you know that being a peasant in this village is a crime? Now you know.

13 Likes

FAIL!!! D-

Unataka mancave ama rabbit hole ??

2 Likes

chukua bedsitter badala ya single

Hehe kumbe ndo sababu dame alihepa

saidieni kijana bana apate keja fiti.

Enda Githu 45, ama Zimmerman Kwa vijana fresh from college.

1 Like

What is your budget? I can help zile keja niliishi 2011 & 2012 niko sure bado zimestand

Akwende uko! Cyber cafe attendees wamejaa hapa na hawaulizi mahali watahama. Tunataka kufika level ya ule msee amejenga nyumba kubwa eldy, can’t remember the handle. Na kupata watoto and doing weddings like the mono baller, and…

Kwenda uko mwenye ameuliza hii swali

3 Likes

5K

1 Like

Hii Nairobi??? Kayole ziko. Niko hapo kesho ngware masimba na bluemoon. Hii circus ya jubilee is making me happy.

Any can do. Bora nitoke kwenye niko.

Enda pipu. Tulianzia hapo si wote. @vuja de Maji ilirudi?

Enda Ruiru…gwa kairu specifically…niko sure utaget bedsitter na hiyo bei

Kuna bedsitter ya 5k?! Unless ni zile nyumba za mabati @kush yule mnono alijiribu kuchoma

2 Likes

Hamia sides za Kiambu environs.

Residence?? he he wacha ku kutumia hiyo jina vibaya isay

2 Likes

Ongeza 2k nikupatie one bedroom.

1 Like