So I finally gather sufficient courage to approach the girl I had always admired in our church. This was last Sunday. Nikapewa date ya Sunday evening akiendea maziwa. 6.45pm nilikuwa karibu na kwao keenly scanning their gate. Wacha ningoje… Nikangoja…! 9.30pm nikaona lights in one of the rooms go on. Nikajua baas- leo ni mimi na yeye. Nikanyemelea polepole mpaka kwa window. Nikasikiza keenly but all was quiet. Nikagongagonga dirisha. It is then that my journey to hell began. Sauti nzito ya mwamume iliuliza “ni nani?” Kumbe ilikuwa babake! Nikasikia akitoka kwa nyumba nami nikachomoka mbio… Hapo nje kumbe kulikuwa na mkebe umewekwa misumari. Siniligonga hiyo mkebe! Sema mbwa kushtuka! Sema mbwa kunifuata! Mimi huyooo nao madogie hawaaa. Tunaandamana unyo kwa unyo. Nikaona hapa sitatoboa. Ilikwa giza lakini nilirukia mti mmoja hapo nikapanda juu. So nikarelax kucatch breath. Kidogo kidogo nikaona masportlights zinakuja. Nao mbwa chini ya mti wanabweka like their life depended on it! Kuangalia hizo torches, what I saw made my heart stop. Kumbe babake na majirani wanakuja with bows na arrows. Nikasikia wakiulizana huyo mwizi ameenda wapi. Mmoja akasema yuko juu ya hiyo mti mbwa zinabwekea. Mara hiyo nikasikia an arrow wheezing just past my eyes! Nikajua hapa, naenda kuonana na mwenyezi. Nikishuka, dogs are waiting nisiposhuka mishale inakuja. Wacha nisweat. Nikajua mwisho wa dunia umefika. Roho ikaniambia its now or never. Siwezi kufa peke yangu. I aimed at the largest dog that was barking the loudest. Niliruka direct kwa kichwa yake tukaanguka sote wawili. Wacha mbwa ishtuke! Wacha hizo dogie zingine zikimbie! Wacha na mimi nichomoke in the opposite direction! Venye nilifika nyumbani hata sijui. Leo ndio nagundua kumbe one of the arrows ilinigwara kwa bega! I hope it wasn’t poisoned. Leo hata ndio nimeona a tooth from the dog I landed on kwa mguu wangu. Wanakijiji wacheni niwaambie - death is real. Tangu Sunday night, sijatoka kwa nyumba.
:D:D:D too good to be true:D:D:D
Peleka hekaya section
picha ya scratch kwa bega na bite kwa mguu. coz hii story nishawahi soma kwa mbuku flani ya swa nikiwa class 3.
Hahaha… That’s comedy…
IKIENDA HUKO UNAFAIDIKAJE? WACHA KUSUMBUA
Hahaha hii ni true lies lakini imenichekesha
USELESS
Wewe ni usiless,
@Ice_Cube muekee ile ngoma ya katitu mboys mband
yaani uchome shule alafu uje nyumbani kuiba msichana wa @mabenda4 mwenye pia amechoma shule??
In this era of cell phones where you only needed to text her, why then take such risk?
Nimecheka yangu yote
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Hahaha the tribulations that fisis go through just to get slices :D:D:D:D
Men die trying to get slices
Nowadays even actual glue sniffing chokoraas own cellphones. Kwani wewe ni maskini aje?
Wacheni mambo ya cellphones bana…he he he he he he!
[ATTACH=full]51262[/ATTACH]
:eek:Hekaya safi!