Nduthi guys and the end game of their shenanigans

[ATTACH=full]373435[/ATTACH]

watu waliambiwa wako na vichwa ngumu wakafikiri hawahitaji helmet

Hawa watu wa nduthi sijui walirogwa na nani,jana around 8 on my way from Embu,nkikaribia Nice Digital City ,kuna nugu ya nduthi ilichomoka ghafla out of no where,no helmet,no reflector and no lights…hiyo sahii ingekuwa imeuma pamba kama ningeskuwa spidi.

Apo ata helmet haingesaidia. It’s general raod discipline

Most hospitals nowadays have a wing for motorcycle accident victims. It’s not uncommon to see young men in some neighbourhoods limping or walking with crutches after a minor crash. They seem to just accept and even embrace that this could happen to them.

Also had a similar experience same place…Kwa bumps just before you get to Nice city. If I hadn’t slowed down, wangeingia chini ya gari

Mahn,alaf ukifanya mistake ugonge mmoja pray to wanyonyi gari yako inaeza fly…those motheryuckers watakugeuza mahindi choma

Kuna mumama alikimbia hapo ndio asipitwe na udaku but akapata horror movie.

Nugu imeenda next level shaolin style. watu wa nduthi huwa na upuzi kwanza outering rd as you approach Kiamako hio area ya kariobangi. vijana wajinga zaidi.

This guys are a nuisance. Hao uona nkama wako na body za chuma

Kama wewe nuisance wa ktalk…watu hawawezi sema kakiitu juu utawasema kwa admean

The second guy bleeding in the video is still alive. Ama ni mimi naona zangu?

Upuuus

Ole wako ukipata accident kama hiyo na hujakufa,watu watakuangalia namna hiyo wakisema woiyeee hadi hewa ikukatikie

Mdau unaishi Dubai ama Muchatha? Asking for @Jimit but we are all curious.

Why are you asking for me? Nilikupea ruhusa saa ngapi mende wewe?

I thought you said that you wanted to manga Kuria’s fatty booty. (No homo)
And if you learn that he is in Muchatha rather than Dubai it will make the task easier.

Kimende. Swali ingine?

Nobody is offering to help. The second one looks like he is still alive :oops:
Stop the bleeding!!!

Very sad.

Wearing a helmet can protect you from head injuries and death in an accident.