Nduthi Gang

Leo nimepatikana na nduthi gang wakanitoka tenje. Kangombe kameenda maze. Inaitwangwa mtupe, ukisleki kidogo tu unafunzwa na jiji.

Ebu tuwekee kale kawimbo ka “nduthi gang nduthi gang nduthi gang… Nduthi gang, nduthi gang…”

umeongea lugha gani coz sijaelewa kitu hata moja ?

I just hope walitumia lube!

ndio hio mkubwa

Today I bave been found by nduthi gang. A cow is gone. Its distraction game, when you look one side they attack from another. I you slack, the city will teach you.

Enyewe tumia tu lugha unayoielewa.

Sio makosa yangu najua sheng tupu. Ngoso ilikuja na meli

Please help him translate!!!

Mafans wa chelsea wengi ni nduthi gang.
Leo kwa game ya Chelsea, cheki kwa local yako vile nduthi mingi zitakuwa zimepark

[MEDIA=twitter]980490631087902720[/MEDIA]