Nduru isioaminika

Enyewe hapa @Meria Mata atawacha kulipia import ile bus cheap ya Tahmeed yenye alianika hapa at some point… kindogo kindogo bus ikachomeka…

Hapo likoni ferry mafala wa Nairobi najua walikuwa wamepanic vinoma…some stories zinaweza fanya wabara kuogopa sana kutumia ferry hata kama hakuna storm…

1 Like

is the increase of cargo trucks accidents Co incidental or a deliberate push by government to quantify the importance of the SGR Project

1 Like

Mombasa twaja

1 Like

Karibuni

Unataka kusema serikali imeambia madereva Wa malori Na mabasi ya Mash Na Buscar wagongeshe magari ovyo ovyo?

3 Likes

Hehehe, coz of SGR

1 Like

Usiniambie serikali inawekea freighters mitego waanguke.

2 Likes

Two questions; hio boat in how much? Would like to buy one. Na nikipanda, naweza shukishiwa hapo Fish Point for lunch

3 Likes

Walitoa tender ya crosswinds zisukume malorry to tip over sideways.

6 Likes

:D:D:D

Ile imebakia ni Hawa Watu wakudandia washauriwe wasijifanye monkey juu ya train

Hehe. Mimi nothing will kill my dream ya kununua actross however long it takes. Lazima nicheze King Of The Road in real life

2 Likes

By the time your dream becomes reality there will be a better, sexier more advanced model. Cheki vile MAN na Scannia zimekua nyingi
[ATTACH=full]98782[/ATTACH]

Saa hii hii ndio inanibamba
https://i.ytimg.com/vi/X4bH1QRb03Y/maxresdefault.jpg

2 Likes

The chinese had proposed a fare charges of 4500 for economy class so as to get ROI in reasonable time but the gvt declined saying it was unviable. Thus it us highly unlikely that these prices are gvt subsidised and after the 6months trial period we could see those prices sharply increasing. In my opinion sgr should specialized mainly for cargo juu sioni wakiweza kutoa buses barabarani.

Kati ya scania p410 na actross 3330 gani better option for kenyan roads?

Zote Sawa, gari hutegemea service backup, siku hizi all parts are readily available

1 Like

Na hizi gari huwa na engine capacity ya?