Spika Ndugai ana Uzi, kuchekesha na kujidharaulisha. Sababu za kukataa kusomwa kwa budget mbadala hazina mashiko Bali kutaka kuhakikisha yaliyomo hayawafikii wananchi juu ya budget yao hewa.
Sasa waliambiwa waogope Mungu na Teknolojia, teknolojia imeanza kuwalipua. Hapa jf ugenini tayari hotuba yote IPO na Nina hakika vyama vya upinzani na asasi za kiraia zitafanya juhudi kuchapisha na kuisambaza hata kwa siri ili watu wajue kwa nini wamesema budget 2018/19 ni hewa
Hiki kiandunje kina dharau sana
[FONT=courier new]Hiyo ’ Bajeti ’ ikisambazwa ’ Mitandaoni ’ kama unavyotaka ndiyo unadhani litakuwa ’ suluhisho ’ la matatizo ya Watanzania na ugumu wao wa maisha pamoja na ustawi wao kiujumla. Ni mpaka Watanzania tuache kutofautisha kati ya Siasa bora na zenye kwa Utaifa na zile za ’ Kianaharakati ’ na ’ Uchochezi ’ ndipo tutapiga hatua ya Maendeleo na kutoka hapa tulipo vinginevyo tutabaki hivi hivi kulaumiana kama ’ Wendawazimu ’ vile.[/FONT]
Sawa Mkuu
kwa nini mambo ya bungeni wapambane mitandaoni. wakomae hukohuko wadai haki zao. kukimbilia mitandaoni ni kukwepa majukumu na kutafuta huruma zisizo na mashiko.
Hivi unaumri gani? Sorry, namaanisha kusomwa budget mbadala bungeni ni haki ya wabunge kuisikia au ni haki ya wananchi kuisikia?
Umeuliza swali la akili sana ambalo hata GENTAMYCINE ameshindwa kuliona. Budget na mijadala ya Bungeni ni haki ya raia kuisikia na kuiona kwa uwazi kabisa, sasa pengine wasingezuia ingesomwa na wachache lakini sasa itaonwa na wengi
Mkuu hivi unajua bunge ni mkutano wa wananchi kupitia wawakilishi wao? Kuna ubaya gani wakituletea humu mitandaoni iwapo huko bungeni wamezuiwa? Na hata kama wangekubaliwa sisi wananchi tungeonaje iwapo bunge lipo gizani? Je ni kosa jambo la bungeni kuja huku mitandaoni?
Ni vizuri ukafahamu hata huku mitandaoni tupo watu wengi wenye uelewa wa mambo, hivyo ni vyema tukaona kilicho ndani ya hayo makabrasha illi tupime kipi ni kipi. Kama ww unaamini mbunge wako anaakili sana na anapaswa kusimamia kila jambo bila ww kujua anasimamia nini basi endelea kushikilia hapohapo, na subiri siku bunge likiisha aje aitishe mkutano kukupa mrejesho wa kile kilichojiri bungeni.
Mkuu hizo ndoto zako kaote Rwandwa. Kumbuka lichama lako liko madarakani zaidi ya miaka 50 lakini afadhali jana kuliko leo. Kwani hii nchi ni ya wana CCM peke yao. Pambafu wee.
Nimeisoma ile budget hakika kama ingesomwa jiwe ange amrisha wabunge Wa chadema wapigwe risasi this time na watu wanaojulikana.mungu MTU anapenda asifiwe tu sasa wapinzani wamemponda sana kwenye ile kitu
Hivi sababu za kuzuia isisomwe ni zipi?
Unaelewa maana ya bunge wewe?
Hivi siasa za uanaharakati ni zipi na zisizo za uanaharakati ni zipi?
Mbona siioni wala kuisikia humu hiyo hutba?
Kaka
Ipo humu mkuu tayari imepostiwa
We fala kweli. Hujui kuwa siasa safi ndo zinaleta maisha chanya. Kama akiruhusiwa mtu mmoja adictate terms unafikili utafanya chochote chenye maendeleo bila wishes zake. Leo hii wawekezaji wanakimbia kwa sababu akipata tatizo hana pa kusemea mpaka rais afurahi kwaza au bashite ndo uwe na uhakika wa progresses zake zaidi ya hapo unafilisiwa tu. Mfani ni manji na wengineo. Nchi zinazostawi kuna freedom of speech, rais akienda ovyo anaambiwa ukweli tena kwa ukali na mambo yananyooka.
Kabisa mkuu
Ogopa Mungu na Teknolojia
Budget yenyewe ya hovyo, wabunge mpaka muandikiwe, mpeni hata Zitto baso