Ndoto za maajabu.

Wadau niulize,what’s there in a dream??Ushawahi ota kuhusu kitu au mtu na events zinahappen zinakuwacha ukicheka au ukilia au ukiwa umechanganyikiwa zaidi.
Kuna zingine pia mtu anaota then baade unashtua that episode happening in real life.Sitasema nimeota nini usiku wa kuamkia leo but kama ni possible,nawezawish ihappen vile vile tu.Na sijaota nikikojoa au nikikunya kitandani.
Madkatari wa mifugo,mitishamba,kina wakanesa na night runners pia nisaidieni hapa.Mawatchmen waje pia watuambie kama wao huota ju wanalala mchana.

:D:D
Wewe inakaa ulitaga jana usiku…:smiley:

People mostly dream of people or events they try to ignore,most probably izo events zishawai happen tena ukasahau or akili inakudanganya ni deja vu

What about events that are going to happen?

haha, i too naweza dream and the dream will come to pass… i dunno how but some dreams huwa zinahappen

Mimi nilidream utapost hii upussy…

Nyamaza punda bikra!!Kazi yako ni kufungua tu mapaja unafungwa mabao.Hii season una umama sana.

GAAAAAAAAAAAAAAAAAY!!!

umewahi ota uki experiment kama mshuto yako ni Flammable?!

Watch this and u will never take dreams for granted.
https://www.youtube.com/watch?v=lDmU98T93W4

This too…
https://www.youtube.com/watch?v=b5ITqCvigPk

Nakumbuka like last year niliota screen ya phone ya mine imecrack, nikaamka asubuhi na first thing Nikaenda kwa supermarket ndogo ya mtaani nikashukisha screen guard… That same day Nikaenda Tao kitu ikaniambia niunde speaker ya phone kwa shop flani juu ilkua imespoil na juu battery ilkua inbuilt ilibidi amefungua na side ya screen the nigga cracked the inner screen and because it was a Samsung A5 kuulizia screen kwa shop nikaambiwa 12k ikabidi nimesare … Some Dreams come true my fren