ndoa inafaa kusaidiana

A family friend has been on my neck since last week antaka nimwokolee doo, anasema ni ya fee ya watoi wakee. Ironically since friday his wife has been flooding whatsup status na mapicha za kuslay akiwa coast diani. He is a good friend hata nmeshindwa kumuuliza kama ako coast pia. Kwani uyo bibi alienda coast bure? mimi sijampromise kitu

Saidia yeye bana. So bibi asiende mahali juu hakuna school fees?
Na sio vizuri kufuatafuata bibi za wenyewe mpaka whatsapp weekend mzima

sijafuata bibi ya mtu, status ya mapicha anaweka mwenyewe

Assist the family friend achana na bibi yake

Sawa but just help the guy if you can. 4k won’t hurt you kulingana na status unajiwekaga hapa kijiji

Banae, imagine rafiki yako akikwambia sikusaidii, nimeona bibi yako Coast akiswim

My brother I know of that guy. Don’t accept to be misused. Those guys have money but they lack priorities. Wacha wajipange

Ata ukitaka kuwalipia all bills ni sawa tu. Wacha wajinice na pesa zao after all there are people to do the important things like paying school fees for them.

Rule 1
Only give what you are willing to loose.

Don’t give expecting him to refund. If he does so, well and good.

I also know him. What a coincidence

watu wakue na priorities bana

Saidia rafiki wako, sababu ya watoto. Later muite kando, beer mbili, afungue roho, umsaidie kimawazo kama mzee

Maybe bibi ako company trip slaying with per diem.

The more I see such stories the more I see akina @Karoga na @Mimi Huwa Namwaga Ndanii waki make sense with MGTOW philosophy…

Marriage is such a bad deal for men nowadays…

Mimi nimeokolea jamaa mbili this week school fees… Nikawarushia kitu kidogo mpesa because wanaume nikusaidiana.

Jamaa juu ya kuchujwa job (corona manenos) bibi anaanza kupost status on Instagram za ma selfie with her male colleagues…

Messages za Instagram status nazo ni plausible deniability but somehow sending subliminal messages.

“Ati thank you for your support”, “you guyz are the best” ati thank you deskie for the awesome mandazis" :D:D:D:D:D

Saa hii as we speak wife amepost huyo desk mate yake akifanya job na tumandazi hapo:D:D yet wife hakuenda job leo.

Married men mko na shinda sana. Yaani unachujwa job mtu anaanza madharau kidogo kidogo…

So two cases define all marriages? Come on Mûthabarî

Hizo photos ni za kitambo its just but memories,maybe before corona. saidia

Bibi yake amepelekwa coast kukamuliwa chini ya woyez na ameblock Mzee Whatsapp,so Mzee hajui hivyo,saidia jamaneni

This was my red pill initiator n am never looking back, married but redpilled as fuck. P.s mtu asiitishe hekaya juu hakuna

Mtu kama alioa bweha hiyo ni shinda yake.

Practice the subtle art of helping but not helping.

Mtumie thao umwambie uko mwisho pia.