Ndo kuamuka ..waaah..mzito ameamuka!!

Kucheki game ya wazito Arsenali…normally sunday mm huwa sitoki inje lakini leo itabidii coz nataka buy beer ya hio game…ninunue beer nikamu nicheki home. wacha nione ni pesa ngapi ilibaki wallet after jana outing…waaaa…nimesota lakini aina neno…ATM kuna ma nonsense
[ATTACH=full]20375[/ATTACH]

1 Like

Mimi Niko kwa uwanja already.

1 Like

umeitwa sugar daddy na daily post

1 Like

arsenali tunaua hatuui:p

1 Like

chokosh,kwani ulitumia ile glue ya moto?

5 Likes

Zii sijawai itumia chokosh…nilikua kwa njoro juzi na akanishow kuna glue mpya akanishow niku ulize…tunaweza ipata wapi chokosh?

1 Like

Aki Jay you’re a lightweight! !!! how you gon’ let beer lay you low?

1 Like

hiyo uliza chokoress @Nefertities,mimi sijui

You can’t even tag to save your bovine life!

why do you always insult me,kwani mimi ni mtoto wa paka?

Wazito Man City wame draw…meaning leo tukiuma Tott tutakuwa top of the league waaaaaah napenda sana

for pleasure baby kwani u don know swirry…lenga tht chokosh…i hate it every time u jibishana wth him thts why i normally dot intervene,dont jipeleka down,he aint in yr league…he is a chokosh…a real one

Upuus

1 Like

Arsenal apana tambua spurs. Niko hapa Na UNCLE NYAM supu Na mutura kiasi.

1 Like

Fixed

Wasee wa Man u wana ngoja hii game,pan tambua…

Vita vya machokosh furaha ya wamatiti.

2 Likes

Supu ya mbuzi. Sii Ile ya kuona Nickledeon.

:D:D:D:D

did some people speak too soon? KANE…!