Ndio tumefika Lake Ellis hapa Mt Kenya

3 Likes

I enjoy this channel along ile ya NTW Twende by Njora

1 Like

Naonanga Khadija nafurahia sana.

1 Like

Ushai nyonga on her imaginations?

2 Likes

Kuna nomad fulan wa hilux ya nguvu KBW huwa hamiss hizi trips. Ametoka Nanyuki I think. Nashuku mtatuletea hekaya hapa siku moja…

1 Like

Hii ndio the best way kupass weekend si kushinda clalabash kama @cortedivoire

1 Like

Bibi ya wenyewe na niko hapa singo,how have you been my friend.Halafu huyo Khadija ako na pua ndefu imejikunja somehow…not the sight i want to see when firing the nether region

:wink: :wink: :wink: :wink: :wink:

Kuna jamaa mwingine anajiita 96 lost, yeye anapiga masolo drives zingine deadly. Check his YT as well.

1 Like