Imagine kuamka asubuhi ukafanyishwe hii ufala na ungekuwa umeokota tufinje twa mia tano by now. Instead uko hapo ukibebwa ujinga kama mtoto. Alafu jioni uambiwe uende patrol. Si utaumiza mraiya banae na hiyo machungu yote
[MEDIA=facebook]id=464696158822556;type=video;user=nationalpoliceke[/MEDIA]
A police officer is a tool of the state
Heke
July 13, 2022, 1:57pm
3
Aki ya mungu KAZI ya d- ni upus…Sasa awa wanafanya nini:D:D:D
slevyn
July 13, 2022, 2:16pm
4
:D:Da grown man umeshikiwa kijiti
Wanapiga Zoezi vile wata’deal’ na Political Vayolense.
Micymas:
Imagine kuamka asubuhi ukafanyishwe hii ufala na ungekuwa umeokota tufinje twa mia tano by now. Instead uko hapo ukibebwa ujinga kama mtoto. Alafu jioni uambiwe uende patrol. Si utaumiza mraiya banae na hiyo machungu yote
[MEDIA=facebook]id=464696158822556;type=video;user=nationalpoliceke[/MEDIA]
Do they match like that kikiumana kwa streets?
Coordinated drills until the first stone is thrown and the teargas canister repelled by the protestors, all is forgotten.
Zile drills huwa naona kwa movie are several levels ahead of hio mchezo naona hapo. More of a simulated act while hii hapa ni theory
Top 0.1% > Police > Bottom 99.9%
The average cop does not really understand that he is basically an attack dog for the top 0.1%. Akifanya kazi vizuri anapewa treats a.k.a lunch.
The entire service is just a tool for the elite to maintain an iron grip on power and resources.
hizo 50 bob unachukua the whole day unabaki na thao nne daily , huwezi kosa mzinga ya kununulia maumbwa kina @SledgeHammer .