Ndiko tulikofikia huku kama wananchi

Katika hali ya kawaida unaweza kushangaa, kubeza, na kuwaza vyovyote vile lakini ukweli unabaki kuwa wananchi wamefikia hatua ya kukata tamaa hata kuwaza mambo magumu na mazito ya namna hii. Kwa jicho la mbali unaweza kuwaza kuwa watu wanaowaza hivi wakiwezeshwa watafanya nini? Hapa ukimuuliza jiwe au dereva wa Lori unaweza kuzimia kwa majibu yake.

The end justify the means
[ATTACH=full]175864[/ATTACH]

Tatizo viongozi wenyewe wachawi wanaenda mpaka Nigeria unafikir mtawaweza?

:oops::oops::oops: Duh!..

Duh

Wana chale kila kona shubaamit