Ndege ni mzigo mkubwa kwa Watanzania

Watanzania wengi hawana uwezo wa kusafiri na ndege kutokana na gharama kubwa hivyo ni hasara tupu! Mwaka jana tuliambiwa ATCL ilipata hasara ya 223 billions ndani ya miaka miwili sasa hasara itakuwa kubwa zaidi. KAKURUPUKA tena kwenda zaidi kuchota trillions bila idhini ya Bunge ili kununua ndege.

https://www.youtube.com/watch?v=C4nWnRukAKU

Hakuna jambo lolote atakalo fanya mshindani wako/ mbaya wako ukatoa pongezi.
Hapa hapa Tanzania wapo watu leo wana zaidi ya miaka 40 hawajawai panda treni.
Lakini hatusikii kelele.
Kuna shukrani au pongezi ni za kinafiki, tusubiri mpk mtu afe au atoke madarakani ndo tuone umuhimu wake.
MTAPATA TAABU SANA

Huhitaji kusubiri muda wote ili kujua kwamba Nchi inaenda mrama labda uwe na akili finyu ndiyo usubiri miaka 10.

Na ni upumbavu wa hali ya juu kujiweka pembeni na kauli yako ya kizwazwa kuhusu kupata tabu kama vile wewe tabu hizo hazikuhusu.

Elimu inaanguka, Bunge linadharauliwa, mahakama inadharauliwa, sheria za nchi zinapindishwa, trillions za walipa kodi zinachotwa kiholela bila idhini ya Bunge, Watanzania wanatekwa na kuuawa huku Serikali inakaa kimya.

Haya yote yalisababisha hadi Viongozi wa dini za Kikatoliki na kilutheri kuandika nyaraka hadharani kuonyesha kutoridhika kwao na muelekeo wa nchi lakini wale wenye akili finyu AKA MAZWAZWA wanasubiri miaka 10 ili kujua huyu dikteta, mwizi, muongo na muuaji kama alistahili kuiongoza nchi au la!!!

https://www.youtube.com/watch?v=rEj2wPSS8M0

https://www.youtube.com/watch?v=-A7qO5eiLYQ

How do we compete with Emirate,Flydubai,Kenyairways,Ethiopia,Erhard ect!?
We could had focused local ,improving infrastructure’s , improve and built more inter terminal’s to cover all zones , and add up more vibuas.

Yes those are our main priorities in order to benefit majority of Tanzanians instead of buying those airplanes which will benefit 2% to 5% of the population and end up with huge operating and administration losses year after year.

https://www.linkedin.com/feed/update/urn:li:activity:6421520383681404928

[SIZE=5][FONT=times new roman]Ni unafiki mkubwa kushangilia ujio wa ndege na wakati huo huo kuamua kuwa kimya kuhusu hasara kubwa ya [COLOR=rgb(226, 80, 65)]shilingi 223 bilioni ndani ya miaka miwili tu. Ndege si kpaumbele cha Taifa letu kwa sasa wala kwa kesho. Ni wenye akili finyu na wakurupukaji tu ambao ndiyo wanaodhani Ndege katika Taifa ambalo wapanda ndege hawazidi 5% ni kipaumbele cha Watanzania.[/FONT][/SIZE]

[SIZE=5][FONT=times new roman]SHEREHE ZA BOMBARDIER ZIKIISHA, TUHESABU HASARA ZA ATCL.
[U]#Mtatiro[/U] J
Naambiwa kuwa tumetumia takribani Dola za Marekani Milioni 63 (Tshs Bilioni 130) ili kuokoa mchakato wa kimahakama wa ndege hii iliyokuwa imezuiwa Canada (Kwa mujibu wa Mhe. ZZK). Bilioni 130!
I mean tumepaswa kuwalipa wadai wetu kila kitu, deni lao walilokuwa wanatudau, riba zake na gharama za kesi (ndiyo wakakubali kuondoa kesi ya madai mahakamani ili tumalizane nje ya mahakama). Kichekesho ni kuwa, gharama halisi za kununua ndege ya Bombardier kama tuloileta ni Dola Milioni 31 tu (Tshs Bilioni 63).


[COLOR=rgb(226, 80, 65)] Halafu wapo watu wanataka tushangilie eti serikali imenunua ndege. Yani wapo watu wao wanataka tu kuona ndege inapaa, hawataki kujua hasara tuliyopata ambayo haizibiki (maana Bombardier mbili za awali zimeshatuletea hasara ya Tshs Bilioni 223 kwa miaka miwili tu).
[COLOR=rgb(226, 80, 65)]Kwa wanaopiga hesabu, kama Bombardier ya tatu (hii ya sasa) kwenye kuileta peke yake tumeshaingia hasara ya Bilioni 67, ukiongeza na hasara ya Shs Takribani Bilioni 195 ambazo tutazipata kwa mwaka huu wa fedha kwa kusimamia uendeshaji wa Bombardier zote tatu (hasara ya Tshs Bilioni 65 kwa Bombardier Moja x 3 kwa mwaka huu unaoendelea), unaelewa wapi tutakakoekekea.
[COLOR=rgb(226, 80, 65)]I mean in 3 years, tutakuwa tumepoteza Tshs Bilioni 223 + Tshs Bilioni 67 + Tshs Bilioni 195 = Hasara ya Takribani Tshs Bilioni 485 (Nusu Trilioni).
Mnajua kwa nini nayasema haya, nchi moja moja zilizojaribu kuendesha mashirika ya ndege kwa pesa za serikali, nchi hizo zilishindwa vibaya. Air Rwanda ambayo inamilikiwa na serikali ya Rwanda kwa asilimia 99, kila mwaka inapata hasara kubwa. Wamejaribu kuiuza bila mafanikio wamekosa wateja wenye hela ambazo serikali inazitaka.
Hivi sasa tuzungumzapo, AIR INDIA iko sokoni, inauzwa baada ya serikali ya India na utajiri wake wote kujaribu kuiendesha bila mafanikio. I mean uendeshaji wa mashirika ya ndege ni jambo mtambuka na lenye mchakato uliokokotolewa vilivyo. Uendeshaji wa shirika la ndege hauihitaji ndoto za mtu mmoja tu, kwamba “…nchi yangu haina ndege wacha nizinunue.”
Yes, unaweza kununua madege 10 au 20, na kila dege linakupa hasara ya Bilioni 100 kwa mwaka, kwa hiyo madege 20 yakakupa hasara ya Shs Trilioni 2 kwa mwaka (Milioni Elfu Moja x 20), wananchi wakawa wanashangilia kuwa sasa tunazo ndege 20, lakini kwa mwaka mmoja madege hayo peke yake yanakula Trilioni Mbili (bajeti nzima ya kuendesha serikali ya Tanzania mwaka wa fedha wa 2000/2001).
Jambo lingine, uzoefu wa umiliki wa madege ni kiwa huwa hayanunuliwi kwa pesa taslimu. Madege huchukuliwa viwandani serikali inakuwa mdhamini kisha shirika la ndege linaanza kuilipia ndege husika huku ikifanya kazi. Hiyo ndiyo nidhamu ya ununuzi wa ndege duniani kote.
Afrika ni bara la ajabu sana, huko nyuma sote tulilalamika juu ya namna Shirika letu la ndege ATCL lilivyokufa, tukasema shirika hili linapaswa kufufuliwa, basi ufufuaji wa shirika letu ungelipitia kwenye michakato ya kitaalamu na yenye tija zaidi kuliko kudhani kuwa kununua madege kwa hasara kubwa na kuziendesha kwa hasara kubwa ndiyo hasa matamanio ya watanzania.
Watanzania wangelipenda kuwa na shirika la ndege litakaloongozwa kwa mustakabali mwema, siyo mbwembwe, sifa, na hasara. Ndiyo maana, miaka michache baadaye tusishangae kusikia kuwa nchi ilipoteza matrilioni ya fedha kuifufua ATCL ambayo imeendelea kuwa mzigo kwa taifa.
Wapo watu wanaumia sana tukizungumza mambo haya, wanasema kazi yetu ni kupinga, tukiwaeleza kwa takwimu kuwa elimu yetu inakufa wanasema hatuna shukrani, ni kama vile hiyo elimu inayotolewa ni hisani na si wajibu wa serikali. Tukisema uchumi wa nchi ni mbovu na unaanguka wanasema tumetumwa na wazungu, tunaionea Tanzania wivu, kana kwamba sisi ni wageni hapa Tanzania.
Naomba muitunze POST hii, baada ya miaka mitano tutaelezana ATCL iko wapi, nina uhakika asilimia 100 kuwa tumeingilia mguu wa kushoto kwenye kuifufua ATCL na andiko hili litakuwa rejea lakini sasa hivi kwa sababu tunamshangilia mfalme kwa vinubi na filimbi, tuendelee kusheherekea.
Siku sherehe zikiisha tutasaidiana kupiga hesabu ya hasara za ATCL vs VIPAUMBELE VYA WATANZANIA na huo ndiyo wakati tutazungumza lugha moja, maana kila tulizungumzalo NINYI hulitambua baada ya miaka mitano au kumi. Mnaelewa polepole mno.
#Mtatiro J[/FONT][/SIZE]

Train ni cheapest mode of transport baada ya meli.
Airway mode the most expensive.
Mbona unakua na intellectual malnutrition!?!?
Huoni kwamba it’s not about pride ila afya ya uchumi wetu.

Daniel 5:25-28
25: “MENE MENE TEKELI NA PERESI” yaani:
26: Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha,
27: Umepimwa ktk mizani nawe umeonekana umepunguka,
28: Ufalme wako umegawanyika…

Siku watumishi wa ATCL wakikosa mishahara sababu ya Hasara hiyo ndo itakuwa Hasara kweli. Hizi nyingine ni technical loss ambazo ukija macho juujuu jamaa wanabaki kukushangaa. Kwa hiyo unaamini kuwa ni kweli Migodi ya Tz kila mwaka inapata hasara?

Kama hawapati hasara kwanini waseme wamepata Hasara. Kuna kichwa kuna vitu utavielewa

Mkuu CAG AKA Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali huwa hakurupuki anapoandika ripoti zake za ukaguzi wa mahesabu ya taasisi za Serikali ikiwemo mashirika ya umma. Hilo la technical loss ni la kwako wewe usipotoshe ripoti ya CAG.

http://www.liberatetanzania.com/