Where in kanairo can I buy them wadau? Ata mwitu ni sawa
Gikosh, gikosh kaka utaziwai kwa bei nafuu, naona Manchester united imekutesa sana, umeamua kukimbilia basketball…pia huko ile team uta fall nayo utapata ikona traits za manjesta…Ina heartbreak ma fans.
Bado ukiendea ndondi utajazika na Joshua kiasi uone vile alipigwa ma uppercut kiasi adedi, again another heartbreak. Ukimbilie riadha ujazike na kiochoge…upata pia alikuja namba sigisty one…another heartbreak.
Mbona usipende team kama Arsenal FC na uishi na amani.
Jersey za basketball hata ukifika imenti house utapata na bei mzuri
Ni ya kijana yangu, mimi ni mtu wa footie… Chelsea tuko tu sawa
Fika hapo imenti house hako ka area Kunazo, ama kijana (kama ni mbiggy enough) afike gikosh, ni most saidi…hata akidai full kit…
Niko na ya Anthony Edwards oriji. Lete pesa
Hehe, Sasa wewe ni tapeli
Kwani ume amua kupiga polisi?