Nax tumefika

Niko jams muje tule chicken. Inbox for password.

Boss Man, Eeeh!! What are you saying…

Have edited.

Si unisongee my dear :p:p

Osorait… Nivile haka kamvua kameleta Jam. Ningefika huko.

mzee gashui wacha tabia mbaya

Boss, najua wewe ni respectable hutakuja kupigwa picha za quadrijoint(or whatver it is called), zile gari ziko parking, ile tei iko kwa meza n other acompaniments(read tuquail), so kuja place inaitwa Koroga Gardens ukule kuku imepikwa design ya akina @ranjeet na ukunywe. Karbu county ya fuel siphoning. Na uchunge kajam kameshikana roundabout ya Cigma

Hey, still at jams? Nije saa hii?

Unatusumbua gathee

Kuja

Gani tena unco?

Hahaa!! @Kender, kwa nini unasound msee flani wa Pipuu

Salimia Senior Member Gashui… Mshow Jams sii pazuri hivyo.

Coincidence . what brings you here ie Nax

Nataka nione kama nitamake kufika hivyo

Wacha jokes!

Is it going to be a get together here today ? Hehe

Been here visiting in-laws for a week now

Sijui pia mimi nitokee…

Coincidence indeed…:>