So nilikuwa niende lunch but hii nyoka nilikula last weekend ni intern hapa KNH ikaniambia iko off na since inaishi kwa quarters hapo nikaingia black ops mishen ndio nirudi kwa skyscraper baadaye ama niingie field kabisa. Nikaambia Director Leo naenda ku process visa sirudi akasema ’ dryfry artist it’s ok in fact we have disbursed ile project loan ya 400 million Jana hio LACE imeundwa is too much have the day off ’ nikachomoka hata nilistroll tu gari niliwacha basement . Nilienda shot tatu sasa napanga vile ntaenda huko kayole kwa bibi .
Hehehe huyo ni Daktari msapere , hawes kosa sponsa mupya hata Mimi naweza kuwa ni vile after kutomba naenda missing but huyu ako karibu na waks ntakuwa namtembelea nikienda field work