Nausea

My better half just called and said she is experiencing nausea.I have told her to take a lot of water and the feeling should fade away with time.

Water is a curer of almost all ailments ama namna gani my friend @Deorro

ungemwambia atafute ginger…hata ile powder ni poa…[SIZE=1]ulimwaga ndaaaaaani[/SIZE]?

7 Likes

:D:D:D kazi yake vinegar ni nini? bora isitoe mbegu

1 Like

Finally umefwata advice ya elders,hio nikuvunja mtoto wa wenyewe magoro,anza shopping ya mapema.

10 Likes

mlinidanganya bado anasumbua

1 Like

funny vinegar is one product i’ve never researched so i’d not tell you anything about it.

You are soon going to be a daddy. Wacha pombe anza kusave.

Shida ndio zimeanza trust me ,for the next six months hakuna haja ya gym ,utakonda tu.

2 Likes

Iko ndaaani ndaaaani. ndaaaaani kabisa.
but don’t worry, everything is gonna be alright

https://www.youtube.com/watch?v=d-GGenIidag

My girl was throwing up this morning,
I’m praying it was something she ate :smiley:

1 Like

si umeshamtia mimba. tulia sasa and call the shots.

1 Like

Wacha ifike ma mood swing ndio atajua hajui.

3 Likes

atakonda mpaka maskio kama vile @Captain284 alikonda hadi maskio

2 Likes

Mtume kwa mamako. Atakaa naye vizuri.

1 Like

Finally

Ushaa sema @Okwonkwo [SER]

pombe nilikunywa nikiwa high school na nikatoshekea huko.labda nikistukia tu

@KinduKiega ile kìndù kìega ulokula ndo hii sasa imerudi ikiwa kìndù kìùru. Atleast for a few days…

1 Like

Umenitusi kwa thread ya @Soprano ?

2 Likes

Nimekuuliza,unaona aje wewe? Umetusio haujatusio? Si wewe najifanyanga hapa vile manajua kigreek. Use it! Na usisumbue tena. Ara?

2 Likes

:D:D:D:D