Nauliseko swali.. kwa Prado TX

How do I change this menu to English …Bandit apana elewa hii kitu




Soja rudishia mwenyewe keys

1 Like

Hapo grogon kuna wasee wako na device ya ku change language kwa hizo gari hua na na Japanese.

Alafu kuna zingine unweza change language mwenyewe if you can get to settings in Japanese

Lakini kawaida watu hungoa hio radio ya kukuja na gari wanaweka ya hapa ama wanaweka band extender ishike station za hapa.

Hio yako iko na the words QUICK SETUP ni kusema unaweza change language from setup (settings) menu

Use your phone’s Google Lens to interpret for you the Japanese menu to English, then navigate to Settings and choose English.

Simple

4 Likes