Babu Owino Calls For Nationwide Protests After Death Of Meru University Student Leader
Mwambie aongojee Friday ipite kwanza.
Yeye ni nani anafikiria anaweza itisha mgomo nchi mzima
Hiyo alishawin…just confirmation
yeye ni former SONU chariman na comrades will show up in solidarity with their slain collegue.
Angojee sio aongojee! otherwise unataka tupatane matuu lini?
Kuwa mpole mkisii, let wakatimba be
Mblo ata hio angojee haikubaliki. Jaribu Asubiri
BABU awache ujinga he should start behaving as our EMb east mP sio hao wajinga wa SONU
Mkuu yakubarika, subiri ni kisawe tu, yaani msamiati wa juu kiasi. Aongoje ndio kikisii bana. Kisha angojee hususan hutumika sana katika mashairi, kwani mtunzi ana uhuru wa mazida, ushaona mkuu?
mwarimo , ongeako kiswahiri prisss