Any one who went through this institution, NYS? [ATTACH=full]56101[/ATTACH]
Iyo arrangement ata huwezi washa nduthi in peace!
Apo kuamka ni kufunguka design mtu hufungua laptop
Hapa sio kwa nduthi…hii ilikuwa discipline ya Hali ya juu.
Hii MAISHA ndio nilianzia…right now am a proud dad of 2 mboiz na mboch…lol
Hakuna nduthi huku…niwewe na mkono yako lol
Kuna uncle yangu alikuwa hapo nakumbuka nikiwa mtoi we paid him a visit. Alikuwa anamanga dishy tulimbebea kama doggy haijaona chakula siku mob
YANI UJUI NDUTHI NI NINI
Yep,we used to eat everything comes on our way…njaa ni mingi .Lakini we used to get more food unfortunately kazi ilikuwa mingi
yaani the “Kawasaki” word went just like that
Too bad,unfortunately yeah!
Nope
Nimeishi maisha ya kijeshi pretty since 2009 till the date
Is your uncle still alive? If he is, he must be a CEO somewhere…
@Jambo mugz mbona unapenda kujiongelesha kwa threads zako ?
Because that’s who I am .
Kuna jamaa yangu flani ilikua NYS, hua ananishow kulikua na duties.
So day yake ya kupika ugali ikafika. Jamaa akaweka maji kwa jiko na kuongeza unga kwa hio maji baridi.
Alipigwa kama mbwa.
…
In other words a RETARD
Probably alikuwa ile lot ya machokaraa. Moddy Awori ndie aliwaleta. We were scared of them too
80% of xNYS are very successful people, majority in armed forces, construction firms and other abroad especially in China and Saudi Arabia.