Na pia ninge omba yeyote ambaye alikuwa ‘anakanyaga crate’ (yaani wale barmaids uwaona wanaanza kuagiza kuku choma chini ya maji) lakini waliwacha mvinyo, wanisaidie tafadhali…
Nataka kuwacha pombe kabisa!!:mad:
Na pia ninge omba yeyote ambaye alikuwa ‘anakanyaga crate’ (yaani wale barmaids uwaona wanaanza kuagiza kuku choma chini ya maji) lakini waliwacha mvinyo, wanisaidie tafadhali…
Nataka kuwacha pombe kabisa!!:mad:
Pia mimi naeza penda kuacha pombe, am using an average of 15k on weekends, nime fungua fixed deposits ni jaribu kusave but wapi… So sad :(:(
Pole @Bantu… Though some solace kujua siko alone:)
Kunaeza kuwa na a genuine Alcoholic Anonymous group within Nairobi area mtu anaeza recommend?
That’s Yahweh for you, his name is Enlil [ATTACH=full]43614[/ATTACH]
The good thing i drink strictly Fridays and Saturdays, naona ni tafute bibi na nianze kuenda kanisa and i join a church group…
Hahaha!! We are actually stuck almost in the same quagmire bruh…:D:D
I need to break out of this alcoholic chains like yesterday!!:mad:
Afterall… [SIZE=6]IS IT A MUST I DRINK??[/SIZE]
Hii pombe imefanya nika add weight mbaya
Kiuuu…wachr niende hapa nikunywe Tusker Malt kama 6, then go home and watch Euros
I got married, no stopped drinking. Kuna keroro nili-buy ya kurukisha mwaka, na bado iko intact.
4 weeks now out of the bottle. The resolve to quit has been steadily gaining momentum after every relapse earlier on
Quitting too. I must
tafuta bibi wa SDA ndio ukue unaenda church friday jioni and saturday
Mjamaa nyi ni saucer boy wangu Blaze akiwa Na stress yeye uspend like 600Euro in one sitting… Hio inclusive mataxi juu nimsee anapenda kuzunguka mabar plus kuibiwa Na ma barmaid in African pubs
Mimi no ddo kila siku kibao ama chrome mbili ama moja nusu. Ka account kana umia daily na tu small withdrawals
If that’s your reason for quitting, wait till the quarrels begin and you will be sleeping in the pub.
And let me assure you, no one including yourself should fool you that there’s any marriage that doesn’t have quarrels.
Kuacha pombe has nothing to do with savings!!! Believe, utazitumia kwa addictions kama kumatrix. Ama foods…
Leteni mbesha niwaeekee niko na enough projects zimesimama kwa kukosa pesa…
he he hivo ndio wife hushinda akiniambia alafu namwambia Niko broke but next month tutaanza kusave