Vipi wadau,
Kuna kakangu kule Tabora Tz ambaye anauza miti ya mikurungu(Pterocarpus tintorius)…nafanya kumtafutia soko…ahsanteni
Hold on, what are those? What are their applications?
Pterocarpus tinctorius is a useful timber tree, providing a fair quality wood that is an interesting substitute for the wood of Pterocarpus angolensis
Miche au Miti ?.
Kwa ufasaha ni mbao
Kwa ufasaha ni mbao
Wakaradoi ni akina Nani ???
Sina ufafanuzi mpana kwa sasa lakini nikapata nitakuarifu