Watu wa Thika, nisaidieni number ya Peddy wenu.
Kumbe siku hizi peddy unaelekezwa na madigits? Kwani siku hizi peddy wanauza ndizi?
Unadai kiasi gani
Ule ulikua unatumia ako wapi
Leta ngiri tano Niko na 10kg
Enda hapo stage ya Makongeni Babayao. Sema majizee ndo amekutuma
Hii inakaa mkono ya serikali