Im a Tanzanian, Professional Epoxy Installer…kutokana na changamoto ya upatikanaji wa Epoxy Metallic materials kwa Tanzania, kuna mtu kanambia naweza kupata Nairobi…
Kuna mtu yoyote hapa ana deal na Epoxy? Ama ni Installer, Supplier au unafahamu wapi naweza kupata Epoxy Metallic kwa Nairobi, share na Mimi tafadhari.
Nataka EPOXY METALLIC FLOOR PAINTING…kama ikiwa ni Normal Epoxy resin basi awe na Metallic pigments na Clear yake.
Thank you.
Wale watu wa Sadolin na Crown paints pale eneo la mabanda la Nairobi wanaunda hii epoxy, ata ukitaka pigment yoyote. Kisha, pale Gikomba na Kariobangi Industries, utakuta vijana wanaelewa hii fani ya kuunda vitu kama meza na counters za epoxy. Sawa ma’fren?