Vijana waoe mapema, kabla wafike 26 years[MEDIA=twitter]1551663396994650120[/MEDIA]
Not everyone has a rich dad Itumbi
masikini wanaoa, wanazaa na wanalea vizuri bila shida, nyinyi hukunywa pombe ya pesa mingi lakini mnaona watoto na bibi kama gharama
:D:D:D exactly ,I asked the one @Mimi Huwa Namwaga Ndanii fueling those V8s and raising a child which is cheaper akadai v8:D
Usiwai nifananisha na hio mkamba mujinga kama @Hotwater Engineer
Niaje
Vipi chief
Poa chief
From a different angle, kama ni kweli hii hapa ni investment yake, basi amechukua direction poa… Uwekezaji ni muhimu sana Kwa wote…