Nasema pole

Leo baba katika kikao na wanahabari amesema anaunga mkono vile wabunge walivyopiga firimbi jana wakati wa hotuba ya rais.

Hivyo basi, sina budi kuomba msamaha kwa wanachama hususan Opiyo Wandayi, Gladys Wanga, John Mbadi, Kajwang na Millie Odhiambo kwa vile nilivyowakashifu jana usiku.

Nina kero moyoni kwa kutounga msimamo wa chama. Nimeletea familia yangu aibu kwa kutokiuka msimamo wa chama. Natumai wanachama watanisamehe na wanikubali ili niendelee kujitolea kimawazo na kifedha kunufaisha chama iliyo nambari mbili Afrika katika demokrasia nyuma ya ANC.

Ijumaa Kareem.

18 Likes

Swali ni, kama kweli swala hili ilikuwa msimamo wa chama, mbona wabunge wengine wenzenu hawakuondoka bungeni spika alipoamuru kuwa asiyetaka kuskiza hotuba ya raisi alikuwa amepewa nafasi ya kuondoka

2 Likes

Baba 2017

1 Like

Huyo Baba humtembelea psychiatrist mara ngapi kwa mwezi? Mara ya mwisho alienda lini?

Wabunge waliosalia pale ndani watalazimika wapeane sababu ya kutochukuliwa hatua kali na chama. Kwa wakati huu, wote ni fuko.

4 Likes

Hehehe…sarcasm galore.

1 Like

Direct nomination for the whistle blowers

2 Likes

ulikua umeanza kutoka laini

Your reporting/sarcarsm is out of this world

1 Like

Kongole kaka.Umejaribu kukimudu kiswahili lakini bado kuna dosari moja,mbili, tatu hivi.Hata hivyo twaelewa kuwa osungu ndiyo mdomo chako.

hehehe…
baba for president 2017.
hiyo ingine ni nyef nyef

Ati wote ni fuko, @Okiya you’re something else.

Jaribu the third alliance

hio ni fyokofyoko

Pole sana @Okiya

That’s how your project stalls again.

Hii chama haikufaidi.

peleka ufala uko

Cant fall for that.

baba atashindwa 2017 kama anaunga mkono upuzi

3 Likes

It’s always a pleasure making contributions in the same thread with you @kender9.