narudi ocha

Msee wa hii ngoma alirudi ocha ama??..alitoa ngoma na akazima…

1 Like

Nerea Alizaa ama bado…

13 Likes

guarantee ya mmeru wa newton karis iliisha…

4 Likes

Kigeugeu aliishiwa na rangi?

5 Likes

Kinyaunyau amekuwa fisilet?

1 Like

Size 8 ameishiwa na miguu?

1 Like

Na Nonini aliishiwa na keroro?

5 Likes

Manyakee walikula wakashiba ama?

9 Likes

mtoto wa Nerea alikuja na Saani yake…

1 Like

Heheeeee

Jua Cali aliishiwa na sunshine ama?

Kiasi tu

8 Likes

bobby mapesa alipewa kamoja ya pili akagwara winch

6 Likes

Redsan bado anaulizia who is the chicken now?

1 Like

Timmy tdat bado anakaziwa ka biker?

3 Likes

Last time nilisikia alikuwa jela.

Czar alimalaysia kabisa

Flex bado aseme nini

Aliamka, akakatika, kisha akapotea bam! bam!

14 Likes

Hajajua atazama wapi na nyundo yake itauwa wapi.

12 Likes