Narrow escape

Nimeingia club Fulani karibu na Afya centre inaitwa Elvago nikaitisha gilbeys half na tonic na nikakaa kwa balcony nikingoja gari za Tala Kangundo zikam. Waah kumbe ni ya Ile team ingine na hamjawahi nishow. Maumbwa Sana karibu niingie box nitombwe

12 Likes

Ongea ukweli…hujakulwo mkia? How many guys hit on you?

2 Likes

Afya center? @Eng_iti siku hizi ndume wakisii wanaswagana vibaya

6 Likes

Antelope inaenda kutembelea simba alafu inacomplain ikishikwa shingo

7 Likes

Are you sure you didn’t know?

9 Likes

Leta hekaya full. Iza joh, Sahi msee anakujua amekuona ukitoka hio base akajua pia wewe ni yule msee

3 Likes

I didn’t realize I was being hit on

Zii Bana. Punany is my religion

Sijawahi kama club tao

Pole mkuu kwa masaibu

2 Likes

club mingi hizo area ni mashoga

Hehe, figsti

2 Likes

Huko Kuna na crossdressers shemales

Could it be the one that was called CLUB EVE? Siku moja after clubbing in two I decided to walk to then Nakumatt Downtown (development house) na nikaskia mkojo, decided to hop into that one to relieve myself…found it strange that some guys were dancing provocatively along the corridors but I just thought ni mambo ya walevi, kufika gents napata jamaa zinakiss huko na zingine zinanisorora kama nimebeba poa…sema kutoka mbio!

12 Likes

Yaani siku hizi you can’t just hop into any club in Kanairo CBD and take your poison in peace? Gosh it’s worrying beyond measure

1 Like

Gosh tena? Izi ebonics za femininity achana nazo kabisa

12 Likes

Next time unatumia the word “Gosh” tutakufinya naniii
We wanaume wakiongea utaanza za “Awwwwww”

10 Likes

305238_c7250f1034dad526aaae8fd9ac607bed

4 Likes

:joy: :joy: :joy: :joy: :joy:

Unajifanya na umenyonji after kusoma hekaya shoga hii

4 Likes