Ni wazo tu,kuwena kenya-Jamii Forum ambayo itokane na kenya talk forum na jamii forum ili kuwa na uhalisi zaid,japo challenges inaweza ikaja pale upande wa jirani wakicopy na kupaste sheria zetu za habari sjui ttahamia wapi probably nigeria
!
!
Jamiiforums Inaweza Kuendelea Na Shughuli Zake Kama Kawaida. Waipeleke Nchi Nyingine Basi Game Over.
Sioni haja
The same to me!!
HILI NDILO JIBU PEKEE
Ni maoni yako.
Alafu Mello atakuwa anaishi wapi?
!
!
Anaenda Kuanzisha Kwenye Nchi Ambayo Sio Kosa Kisheria. Kisha Anarudi Bongo. Aache Mambo Ya Mamods. Aache Iwe Kweli User Generated Content. Watu Wawe Huru, Hakuna Ban Wala Nini
Akopi Azam style au?