[ATTACH=full]43948[/ATTACH]
Those grades, wueh? Kinyanganyiro cha governor Nairobi kimeanza in earnst, nangoja za Sonko, most likely zitakuwa ma A, za kununua.
Man down, man down, huyu ndiye ningepatia kura ya govana, lakini mambo inakaa haiendi poa
wawawawawa aliqualify aje kuingia ?
Born in '85. Fourth year in 2003.
Too far-fetched.
aii!
Fuaaaaack angalau nilikuwa na A kadhaa na sikuwahi chapa D EVER, but who cares sifanyangi kile nilisomea
Hiyo course labda ni muoto, naona hata exam centre ime mis-spell “Bayesian inference” na the only B ni ya project which ni group work
2003 ni admission date, hauoni hata admission no. Wewe haujakanyaga campus ya mtu
No. /2003 registration denotes the year he joined. Wouldn’t be bothered soon much about academic scores.
Ulifanya Actuarial science wewe?
First class in actuarial in UON graduated in 06/07
Supplementary tano na anagraduate na second lower. kwani. And he is rolling with kings while wewe na A zako uko busy ukipigana na mashida kidogo kidogo.
Had he got straigh As he would be somewhere working for equity, Insurance, ama KRA for peanuts. hizo A za shule nili-conclude ni umavi kitambo haziwezi saidia kitu. The best you can get is a pat on the back by society and a delusional sense of security.
Boss, itisha kitu unataka kwa bill yangu. Clap Clap. 1st Class in actuarial. Mimi niliponea tu nikamaliza na mimi nilikuwa mtu wa Kabete campus.
Now that you mentioned it, I had to inspect again. But I doubt the grades contribute much to his status in the society.
Hapo kweli budah…i know a guy who did computer science na anauza ingredients za chang’aa…akili na ujanja yako ndio itakusaidia
Bull shit, my siz. was class of 05 stats na kulikuwa na acturial
I also know one with a string of straight As in Actuarial science and is now a smalltime swindler.
Survival model na life contingencies …tungoje tuone venye atazitumia
yea
WACHENI UJINGA…Sakaja failed in EXAMS but passed with a distinction in LIFE!..How many people his age can match up with his achievement. I know so many people with good grades in school and college who are struggling with life while the academic dwarfs such as Sakaja, Sonko, and Waititu are ruling them literaly
Kusoma mpaka Uni na kupata top marks ni overrated, naona wenzagu waliopata A KCSE na kupata degree za nguvu in Uni, all for a pathetic desk job in a dirty govt. office, Street smarts ndio kila kitu.