Wanakijiji naona bado mko fete. Naja na hekaya chungu nzima. Alafu watu ruwere is real. Wachaneni na dryfry kama lazima ka dry tafadhali endea kachumbari ni free, side effects ndizo ngori.
Sawa zilete
Kwani ulihama Jamii Forum? Uliogopa magfools?
sawa @Kinugu Kinene
@kush yule mnono
Tutashida hapa[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Aliogopa a Mugful of beer…
Yaani Magufuli Pombe
[ATTACH=full]182060[/ATTACH]
Kaka braza na sista duh wanazulumiwa huko kwao inabidi wahamie kwetu, pia ssebo na nyabo wako njiani.