Naona una pang’ang’a, jabe-jabe na ukananda mob sana. Ungekuwa mwerevu ungecheza ndogo upimanishe wadhii halafu uanze kuchangia mgodo-mgodo.
Reason yangu ya point No 1 ni juu unaparamia ku[SIZE=4]omba ujuzwe taratibu za mahari hapa Kenya as if Kenya ina kabila moja. Kila kabila lina utaratibu tofauti.[/SIZE]
Shida yenu wakenya nihii mna umimi sana na Chuki
Mtu kaomba kujuzwa wewe mjuze
kuwa na makabila mengi kunahusiana vipi na mada hapo juu!!
mleta mada kisha elezea kabila husika
Inamaana Kenya ukiwa mjaluo hutaweza kuoa Mkikuyu!!
Wajuluo walipo oa Mkikuyu walitoaje mahali
au humu wamo kikuyu waache wajibu
Wacha utoto
Mkuu! Kwanza tuelimishe taratibu za kwenu… Wewe ni mgeni hapa, Na ni kama baada ya kukaribishwa (welcomed) kama mgeni sasa una taka kukunia kwa mlango ya mwenye nyumba na hata unadai kulala master bedroom yake!
I hope I have expressed my self well in kiswahili!
Vipi kaka? Tafuta mbuzi mia mbili (mbuzi moja inauzwa ksh 6000),mvinyo mtungi mzima ndio mazungumzo isiende kombo.Binafsi natamani kukamua dry fry toto zuri kutokaka bongo
Utaenda at least safari mbili, ya kwanza ni ya familia kujuana na ya pili ni ya kuenda kujibizana kuhusu bei (bargain), hapa unahitaji wazee wenye ujuzi.
bei italingana ni mkikuyu wa wapi, nyeri, kiambu, murang’a, kirinyaga … lakini ita range from kes 30k to kes 300k,