Nanyuki Bodabodas Demo

If ur using Nanyuki to Nyeri highway be careful, bodaboda riders are protesting, the road is impassable.
who do this bodas think they are? hii ni ticking timebomb na kama pembe zao hazikatwi saa hii sisi kwisha.
[ATTACH=full]224622[/ATTACH]
[ATTACH=full]224623[/ATTACH][ATTACH=full]224624[/ATTACH][ATTACH=full]224625[/ATTACH]
kuna mtu ashawai gonga Boda hapa? hebu angusha hekaya

Sijaona waja wazito kama hawa mafala wa boda.Kuna time nliona mmoja akijiingiza kwa highway bila kuangalia,akachotwa na mat na kuangushwa mita kadhaa mbele.Dere wa mat akasimama kuangalia situation ni vipi,kumbe makosa.Hao mafala walikusanyana within seconds wakaanza team building ya dere na konda wake bana.Abiria wengine wakajaribu kuingilia kati wakafanwa mix wote.Dere,konda,abiria wakaamua mitini.Mwisho wakachuja ngata kutoka kwa bikes kadhaa na kuchoma hio Mat na kujiondoa kwa scene.
Najiepusha sana na hizi raia.

Ni wajinga because they’re inviting government attention on them. Any sector of any industry that the government becomes involved in starts to decline in profitability. They will know this when its too late for them

@introvert shida yenyu huwa gani?

when NIS sleeps on the job those are the results. They have to identify and deter early enough any behaviours or groupings which might destabilise our country or economy. One day you will have 5000 young men blocking thika road, watu wa nduthi.

Story here is a son of the local Dcio hit and killed a boda boda operator while drunk. The dcio used his influence to change the story that the guy was killed by a mob to save his drunk driving son. The demo was against that injustice

Kesho kitaeleweka.