Nani unam-miss kule JF?

Kwema kabisaa mkimbizi mwenzangu

Nafurahi kusikia hivyo aisee, tupo pamoja katika kutafuta burudani popote ilipo

Nawamiss wengi jamaani. Lol

Member wote wa jf

Wapi hajar, iceman3d, ulewesso,yna4

Hili ndio la muhimu rafiki

Sawa rafiki sasa uweke na kale kapicha chako kabisa

Hahahaa ngoja nikatafute rafiki angu,.

Nakazia.

Nawasalimia wapendwa wote wa jf

Jf ilinipatia mtu muhimu sana kufungwa kwake ilinisononesha sana
Nalogoff

Jamani kila mtu ako na umuhimu wake jf. Hilo halipingiki tunaishi zaidi ya familia

Kiranga

Mshana jr aka beb wa @Demiss

Mimi kuna hater wangu nimemmiss na roho yake mbaya sitak hata aje huku maana alikuwa ananionea sana mnyonge wakeee

Nalendwa,Humble African, Witness j, e.t.c

List ni kubwa sana but hawa ndio nawakumbuka kwa haraka haraka.

Haters wote

Chamdekoooo

Wote kwa ujumla
Nalog off

Karibu wote,nime wamiss,ilikuwa moto kipande ile…

Kritika