Nani Mwingine Amekula

Omwami, ni maneno ya mid month au?

:smiley: No, inakuanga hivi kila siku

Bidii Bidii, ujue you’re representing the whole country

Lakini tuseme ukweli sioni the purpose of the salt. The meal is good to go on it’s own. In the morn or dinner time.

No youre wrong