Nani awache fobe ?

[ATTACH=full]104148[/ATTACH]

kwani fombe huko ni mbesha ngapi

Ata mimi nikinunua Johnnie Walker blue label natoka nayo mbio…

:D:D:D Uko na ufala

ulijua aje?

A true mlevi

Sawa Englishman, Yaani unaenda nchi ya Watu na unanza ukabila ya huko?

Nikiwa campo nilikimbishwa na wezi nikiwa nimeshikilia mzinga ya kibao. Thanks to my active role in the football team I outran the thugs while tipsy.
I had gone to watch a football match(Arsenal tings) and the only thing you could order was a mzinga. Quarters na manusu zilikuwa zimeisha. Nikaitisha mzinga alafu nikaanza kupigia wazito wangu wakuje tukunywe, kila mtu alikuwa busy or unavailable. Mademm nikiwapigia wanauliza kama nitawalipia taxi. Pesa yote ilikuwa imeishia kwa hiyo mzinga, I think ilikuwa 600 or 550 na soda.

Sasa ikabaki nikufe na hiyo mzinga pekee yangu. I remember challenging someone seated next to me achape several tots pia yeye akalemewa. Mimi kuona nitakufia club nikatoka na mzinga yangu ikiwa nusu and decided to go home. As I was walking home I sensed that I was being followed. Kucheki nyuma I saw three shadowy figures. Uzuri a few meters away kulikuwa na corner fulani. Mimi huyo nikapiga corner vizuri alafu nikatoka mbio. Kuangalia nyuma nacheki wasee wamekuja mbio but I had gained some distance. Long story short hawakunifikia, mimi na mzinga yangu tulifika kejani tukiwa intact.

@introvert chora hii kwanza before uchore iguana

@123tokambio kam kiasi:D:D:D

Kawaida ya sisi Arsenal fans:D:D

Wewe una bahati sana. Mimi nishawahi kimbizwa na tumbo nikaacha Teachers ikiwa 3/4.

eti mzinga haumalizi # usikule mchele na mboga ukitarajia uangushe hio kitu, first meza nyama half kg and above utakunywa mbaka kesho na slices utaenjoy karibu kumi…

Viyana wa Wenger muko wachoyo ttuu kama anko yenyu

Ango niaje unaruka ruka kijiji mchana na wewe ni mtu wa usiku kama night runner?

Mi nawesa sprint na kikombe ya jug daniels, na hakuna hata drop moja itamwagika

Hao wezi watatu waliona @Thitima :D:D

From the stories I heard those thugs would give you a proper beating after robbing you.
Singeitikia kushikwa

Until such a time my former boss,the crayon bandit aka @introvert atachora @Chifu ndo mimi nitaacha kusema je suis @uwesmake

:smiley: @introvert si uchore hii kitu hawa watu waniache, for once? I know uncle nyam will wank to that.