Nani Atashinda Kiambu Governor?

Yenyewe nimekua nikilala. Had not noticed how hot the contest for Kiambu Governor is.
I am rooting for Kimani Wamatangi. He is affable, intelligent, measured, articulate.
Yuko na kacorruption kadogo tu, but that can be overlooked.

James Nyoro…[SIZE=1]simjui though, nilisikia tu jina[/SIZE]

Kura yangu itaendea Patrick Kinuthia Wanjiru (@patco from Gatundu ,…

Naona kuna wife wa David Ndii with a heavy CV.

Kabogo defintely

Kwanini definitely?

Incumbent. Aliingia Azimio though so he’s disabled himself

Ah ooh nimekumbuka sasa

How heavy are we talking?

Dwarfs the rest of the field.
https://www.nairobileo.co.ke/features/4620/mwende-gatabaki-meet-economist-david-ndiis-decorated-wife

Huyo Gatabaki ana any relation to yule Gatabaki wa finance magazine…yule walikua wakisimbuana na Arap Nyayo ?

Sijui hata. Mi najua tu ni khupipi wa economist tumbo kubwa (whose economic opinions I respect so much).

Yeah he’s a Land grabber. Mwizi wa kawaida. He had built on road reserves hapo Nyayo stadium. SANY did the necessary.

[ATTACH=full]428200[/ATTACH]

Waititu ana rudi

This nigga is a very useless fellow ataonea hio kiti view sasa

Kabogo akisimama anaeza pita asubuhi hata bila campaign. I’d rather a governor who rides a superbike every now and then, at least he can relate when we say a certain road has potholes.

wamatangi ali rape mboch who is his relative akampea mimba na kumfukuza refused to even pay upkeep

Hii story umetoa wapi? Ni ya when? Relative wake was mboching in his house?

Picha ya mboch na si tafasali[SIZE=1]…ata kama ni kiatu ya left hatujakataa:D:D[/SIZE]