Shenji sana…tungetokea shule alafu usione moshi kwa mabati ya kwanyu unajuanga hio ni ile siku unakunywanga maji na miwa unarudi kirathiii
otherwise ukiona moshi unajua kuna haka gatheriiiii ka mbembe njua and wairimu…arafu mamako amekuekea mtungo huko ndani…unatafta kanyanya kamoja na ka avokado ka muhaishithanio and unakuwa na mess moja wazimm…alafu unachapa uji ile imetoka gwa kinyaa…
haka gatheri was there alot…najua vijana kama @Meria Mata wale wamelelewa na weetabix cunt relate…
[ATTACH=full]235266[/ATTACH]